Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #381
Waingereza wameanza kwa huyu kijana. Watamvimbisha kichwa na soon atapotea kwenye ulimwengu wa soka.π Amecheza michezo 7 akiwa kama mchezaji wa Borussia Dortmund na amenga magoli 11.
π Amecheza michezo 7 ya ligi ya mabingwa Ulaya na kufunga magoli 10.
πHalaand alizaliwa 21/07/2000 na ana miaka 19 tu.