Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

6D9050C2-F251-4741-ACE9-E694782EE799.jpeg
 
Shocking news from the Spanish #LaLiga

#Valencia have announced that about 35% of their staff, including players, have tested positive for the #coronavirus 😢
98BC9F3B-BEE3-48A6-A8B1-FC6875D3F847.jpeg
 
Euro 2020 has been delayed until 2021, taking place between June 11 and July 11
 
Imethibitishwa kuwa Nyota wa Mpira wa kikapu wa timu ya Brooklyn inayoshiriki NBA Kevin Durant amepimwa na kukutwa na virusi vya Corona.

Taarifa kutoka vituo mbalimbali vya habari Ulimwenguni vimemtaja mwamba huyu ambae amewahi kuwa MVP mara kadhaa kuwa amepimwa na kukutwa na virusi hivyo usiku huu.

Katika taarifa yake ya awali Durant ambae aliwahi kucheza timu moja na Hasheem Thabeet walipokuwa Oklahoma ametanabaisha kwa kusema *”Am feeling fine: "Everyone be careful, take care of yourself and quarantine. We're going to get through this."* alimaliza Durant

14BB0B6C-0B3B-4373-A3CD-4A1A933608B6.jpeg
7F7954CF-C964-4525-AE98-FB4FB1C8BBA1.jpeg
 
752A5261-DAA2-4581-BFCA-D003332DFBDF.jpeg
Daniele Maldini on the left on this picture in black shoes..😍😍😍😍Daniele Maldini on the left on this picture in black shoes..😍😍😍😍
 
Zlatan said on his Instagram if Corona virus doesn't come to Zlatan, Zlatan will go to Corona virus
 
📍 Amecheza michezo 7 akiwa kama mchezaji wa Borussia Dortmund na amenga magoli 11.

📍 Amecheza michezo 7 ya ligi ya mabingwa Ulaya na kufunga magoli 10.

📍Halaand alizaliwa 21/07/2000 na ana miaka 19 tu.

Waingereza wameanza kwa huyu kijana. Watamvimbisha kichwa na soon atapotea kwenye ulimwengu wa soka.
 
Happy 44th birthday to one of the greatest defenders to have ever played the game; a 3x Serie A winner; 2x Champions League winner and the 2006 World Cup winner.

Happy birthday, Alessandro Nesta.
32F16735-BD0C-4E2B-B804-FC67E111ED82.jpeg
 
🤯 Of the 20 WhoScored Man of the Match awards claimed by Barcelona in LaLiga this season, 13 have gone to Leo Messi - the most in Europe!

32AE3B96-1E57-415E-908C-6B11FFC1C202.jpeg
32AE3B96-1E57-415E-908C-6B11FFC1C202.jpeg
 
Back
Top Bottom