Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #21
Erling Håland ni mchezaji pekee katika historia ya ligi ya mabingwa ulaya kuzifungia magoli klabu mbili tofauti kwa msimu mmoja.
Sharia ilibadilika ndugu yangu. So sasa hivi anaweza akakitwanga kama kawa.Nisahihishe....hivi sheria imebadilika kwa mfano huyo halland alikua anacheza timu nyingine akaja kuhamia timu nyingine na zote zimeshiriki michuano je,zamani hili jambo si nilisikia lilizuiliwa rejea kwa coutinho hakuweza kuchezea barcelona kwenye UEFA alipotoka liverpool...hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika magoli aliofunga Erling Håland kwenye ligi ya mabingwa msimu huu...
• amefunga kwa mguu wa kushoto
• Amefunga kwa mguu wa kulia
• amefunga kwa kichwa
• Amefunga ndani ya box
• amefunga nje ya box
• amefunga kwa mkwaju wa penati
• amefunga pia kwenye counter-attack
Sasa tunasubiri afunge kwa free-kicks
Galam galam...
Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo Ulimwenguni.
ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya mchezo aupendao...
bismillah...
Waaleikhum salaam mwamba kwema?Assalaam alaykum sheikh Chomba