Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #61
Kwa mujibu wa Sky Kiungo wa AC Milan Mturuki Hakan Calhanoglu na Mlinzi toka Argentina Matteo Musacchio wameanza mazoezi ya pamoja na timu baada ya kuwa na majeruhi kwa siku za karibuni.