Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

⛳⛳The Gunners have yet to offer a contract extension to German midfielder Mesut Ozil, 31. (ESPN)

⛳⛳Arsenal will sell Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang, 30, for £30m as they do not want him to leave on a free transfer. (Sun)
 
🕋🕋Frank Lampard is calling Napoli star Dries Mertens almost every day about joining Chelsea, according to transfer broker Vincenzo Morabito.

Would the Belgian star be a hit at Stamford Bridge?
 
Claude Makélélé:" Kabla ya mechi na Barcelona nlimfata Gaucho na kumwambia 'Ningependa uonyeshe tabia nzuri wakati unanipiga chenga sababu endapo utanichezesha kama play station utajishtukia upo hospitalini
 
9A0DC401-C562-47F7-B771-CCFFE0C76496.jpeg
 
Siku kama ya leo mwaka 2005, Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldinho Gaucho alitoa pasi ya bao (assist) kwa kinda mwenye umri wa miaka 17 na kumfanya kinda huyo kufunga bao lake la kwanza akiwa na klabu ya FC Barcelona.⁣

Kutoka hapo mpaka hii leo kinda huyo amejenga heshima, na Hadi sasa ameifungia mabao 626, ameweka rekodi ya kushinda Ballon d'Ors 6 na ameshinda mataji ya UEFA Champions League mara 4.

@gang_chomba🇰🇪
5B95F9CE-8CD1-4176-B8E1-DB1D25ABAF5C.jpeg
P
 
Siku kama ya leo mwaka 2005, Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldinho Gaucho alitoa pasi ya bao (assist) kwa kinda mwenye umri wa miaka 17 na kumfanya kinda huyo kufunga bao lake la kwanza akiwa na klabu ya FC Barcelona.⁣

Kutoka hapo mpaka hii leo kinda huyo amejenga heshima, na Hadi sasa ameifungia mabao 626, ameweka rekodi ya kushinda Ballon d'Ors 6 na ameshinda mataji ya UEFA Champions League mara 4.

@gang_chomba[emoji1139]View attachment 1437991P
Ameeeen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika magoli aliofunga Erling Håland kwenye ligi ya mabingwa msimu huu...

• amefunga kwa mguu wa kushoto
• Amefunga kwa mguu wa kulia
• amefunga kwa kichwa
• Amefunga ndani ya box
• amefunga nje ya box
• amefunga kwa mkwaju wa penati
• amefunga pia kwenye counter-attack

Sasa tunasubiri afunge kwa free-kicks
Na kwa matako pia
 
Back
Top Bottom