Mwamba Miroslav Klose ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Bayern Munich kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Mwamba alitamba sana enzi zake pia alikuwa akiifundisha timu ya vijana wa Bayern Munich chini ya umri wa miaka 17 na sasa anaenda kuungana na mzee Hansi Flick.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.