Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

Abou merlin

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
58
Reaction score
3
habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
 
Unapenda uwe nani?ukisema hapo naweza kushauri kidogo
 
daaah kweli nyie BRN yani hamjui hata kitu cha kusoma.
 
Dogo acha utani, kwa ufaulu huo unaulizia chuo kizuri...???
 
Comb gan hiyo mkuu? Ila kasome medicine Muhimbiri maana jamaa wa PCB mwaka huu wamezingua kila unayemsikia ana 3 ya kuchechemea au 4 kabisa.
 
habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
unaulizia degree maana ninavyojua watu hawatafutagi ushauri wa faculty, degree ya mambo ya journalism itafaa maana languages umefanya vizuri, unaweza angalia pia degree za ualimu, human resource management etc.
 
ni KLG.,ila mbona ulijitesa kusoma hii kombi?.ungepiga CBG then ungepata hz marks MD, geology, pharmacy, nursing, na course zote za sua njia nyeupeeeeeee!
 
tulia na fanya tafakuri ya kutosha usikurupuke.
inshort course za hummanitie zinachangamoto sana hivyo tulia
 
Kasome Faculty of Islamic Studies, Morogoro! Ukitoka hapo unaenda kuajiriwa na Alshabaab, Boko Haram ISIS, Alqaeda etc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…