mummylove
Member
- Jul 17, 2014
- 9
- 1
Sorry hebu tuandikie vizur kuna kitu cha maana ila uandishi sio mzuri
Am sorry since am very addicted in using vifupi....but what i ment is... kwa a person aliye pata flat C kwenye kombi yake na alikuwa anachukua CBG,je anauwezo wa kusoma pharmacy or MD basing on the fact kuwa ana msingi wa phy na math olevel?