Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

its true that the qualification you have but for such course which you want pharmacy or MD they want a person who have studied physics so you lack qualification

Ambition yangu ni engnieer nt pharmcy or md and eduction
 
Kwaio kile kitabo chao ni useless.

Mkuu nadhan jamaa walikiandika bila mawasiliano vizuri na NECTA, mfano mtu mwenye CDD ni div4, DDD ni div4 so haiwezekani mtu mwenye 4 asome degree, ndiomana jamaa wamesema CC degree na C ni diploma.
 
can you explain 2 me why coz wen u luk out 4 da total points ts 6 whch mnz ts mo dan da 5 points ndd inordr 4 da prsn 2 aply thm n at da same tym thy ar both prncpz wch allwz one 2 apply 4 da unvrsty?

kweli hawa wanafunzi wa BRN ni majanga uandishi gani huu?
 
Mkuu nadhan jamaa walikiandika bila mawasiliano vizuri na NECTA, mfano mtu mwenye CDD ni div4, DDD ni div4 so haiwezekani mtu mwenye 4 asome degree, ndiomana jamaa wamesema CC degree na C ni diploma.

Kama qalikiandka bla ya mawaxliano mbna mpaka prncl walizconvrt from old to new system. Ndo Akuna mawacliano apo na wangetangaza ktk web yao mbna mm ilo tangazo cjaliona
 
Wapo wanafunz kibao wapo pale sntjosepg wana 4 wanachkua degre tena io old syatem yenu, kachanganye wengne
 
eys sikuwa na maana mbaya kuandika kifupi its just because nimezoea...so kama vipi just let it pass...i wont do it again kama vipi...

Mummy ucwaendekeze ao cz wana chuki bnafc. Kufpsha maneno ktka mitandao ni jambo la kawaida wala cjaona rule inaokataza Kufpsha maneno so ia just a jelous of success na msomi gani utakiwa na chuki ya maenfleo y mwenzako
 
thanks wangu for your support
 
xo 4 a prsn hu gat flat C lyk CCC in hs o hr comb lyk sh o h ws takn CBG,cn dat prsn tak eithr phrmcy o MD?

Sorry hebu tuandikie vizur kuna kitu cha maana ila uandishi sio mzuri
 
Kama qalikiandka bla ya mawaxliano mbna mpaka prncl walizconvrt from old to new system. Ndo Akuna mawacliano apo na wangetangaza ktk web yao mbna mm ilo tangazo cjaliona

kwa uandishi huu na point zako tutegemee engineer kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…