Sorry hebu tuandikie vizur kuna kitu cha maana ila uandishi sio mzuri
kwa uandishi huu na point zako tutegemee engineer kilaza
Angalia maana ya neno Faculty katika context ya Chuo:habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
thanks wangu for your support
Angalia maana ya neno Faculty katika context ya Chuo:
A faculty is a division within a university comprising one subject area, or a number of related subject areas
OR
A group of university departments concerned with a major division of knowledge.
Wewe na wenzako mna-bore sana mnapo tumia neno hilo kumaanisha "fani" au "discipline" au "degree programme"
Fahamu kuwa chuo kinaweza kuwa na faculty 2 au 3 tu lakini kikawa kinatoa degrees za aina mbali mbali zaidi ya kumi ambazo ndizo unaweza kuzisoma.
Vinginevyo hakuna mtu anayesomea "faculty" ya aina yoyote kwenye chuo.
Wew ulijua toka Upo o level au ulipofka chuo ao ni Mambo tu yakumishan co zarau tena bt Thnx kaka kwa kutufungua macho
Ngoja nikujibu tu, hakuna shida.
Nilifahamu toka nikiwa form one mwaka 1977.
it is just because one can not choose his or her scores,one can aim in getting high ending up getting medium...
Mimi wananibore kweli
Am sorry since am very addicted in using vifupi....but what i ment is... kwa a person aliye pata flat C kwenye kombi yake na alikuwa anachukua CBG,je anauwezo wa kusoma pharmacy or MD basing on the fact kuwa ana msingi wa phy na math olevel?
alijua hawezi kufahuru,.. ila
BRN ndo imemsaidia, so kufahuru imekua ka supriz kwake... ivo hana mwelekeo
habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
xo 4 a prsn hu gat flat C lyk CCC in hs o hr comb lyk sh o h ws takn CBG,cn dat prsn tak eithr phrmcy o MD?
Huyu na yeye ni msomi?xo 4 a prsn hu gat flat C lyk CCC in hs o hr comb lyk sh o h ws takn CBG,cn dat prsn tak eithr phrmcy o MD?