Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya amesema jumuiya hiyo inaunga mkono Dkt. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa uanachama.
Ameyasema hayo akiwa Misungwi, Mwanza leo Agosti 27, wakati wa ufunguzi wa sherehe za wiki ya wazazi kitaifa.
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
Naipongeza kamati kuu na halmashauri kuu kwa maambuzi thabiti niliyoyachukua kwa kuleta utulivu, amani na mshikamano ndani ya chama chetu na nchi yetu".
"Jana nyoka alitibigwa kichwani ili afe Sisi jamii ya watu wa mara tunamsemo nasema ukitaka kumuua nyoka mpige kitwani".
Tunayaunga mkono maamuzi yote yaliyotolewa na kamati kuu naji ya kumvua na kumfukuza wanachama aliyekuwa makamu kwa rais wa nchi yetu...".
Maanake hatukuwa na namna nyingine... Tuliamua na tutaendelea kuwa na msimamo thabiti kwaali wa chama chetu na nchi yetu na wala hatutayumba kando..."