Fadhili Maganya: Nyoka amepigwa kichwani ili afe, Tunaunga mkono kutimuliwa kwake

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya amesema jumuiya hiyo inaunga mkono Dkt. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa uanachama.

Ameyasema hayo akiwa Misungwi, Mwanza leo Agosti 27, wakati wa ufunguzi wa sherehe za wiki ya wazazi kitaifa.

Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Naipongeza kamati kuu na halmashauri kuu kwa maambuzi thabiti niliyoyachukua kwa kuleta utulivu, amani na mshikamano ndani ya chama chetu na nchi yetu
".

"Jana nyoka alitibigwa kichwani ili afe Sisi jamii ya watu wa mara tunamsemo nasema ukitaka kumuua nyoka mpige kitwani".

Tunayaunga mkono maamuzi yote yaliyotolewa na kamati kuu naji ya kumvua na kumfukuza wanachama aliyekuwa makamu kwa rais wa nchi yetu...".

Maanake hatukuwa na namna nyingine... Tuliamua na tutaendelea kuwa na msimamo thabiti kwaali wa chama chetu na nchi yetu na wala hatutayumba kando..."

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu na wenzake wanajitoa Akili kama sio Watanganyika Baada ya miaka 3 au 4 mbele watalia na Kusaga meno
 
Mwili mkubwa akili kisoda.
 
Binadamu wanafiki sana,Leo anaitwa nyoka!
 
Usiingine neno kwa ajili ya "nchi yenu" bakia hapo hapo kwaajili ya "Chama Chenu"..KATIBA MPYA ni muhimu sana kwa tulipofikia na tunapokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…