Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Iringa Fadhili Ngajilo ametangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.
Ngajilo ametoa azma yake ya kulitaka Jimbo la Iringa Mjini mara baada ya kujitokeza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Iringa Mjini Leo kuchukua Fomu ya Ubunge na kuongeza kuwa nia anayo na ana utayari wa kushirikiana na wananchi kuleta maendeleo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa Chama kikimpa Nafasi ya kuwa Mgombea atahakikisha anapigania Maslahi ya wananchi wa Jimbo la Iringa Kwan amekuwa mzoefu katika Nafasi mbalimbali za Uongozi na katika Chama Cha CCM.
"Ninawaahidi wanachama tutashirikiana vizuri kukijenga Chama na kuleta maendeleo katika sekta Zote za kimaendeleo"
Chanzo NuruFm