Fadlu Davids kuhusu Mpanzu: Tutaangalia acheze namba ngapi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
"Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9."
"Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi ambayo ataonyesha ubora wake zaidi"
 
Kutekwa na watu wasiojulikana, mbona haimo?? Umeisahau au umeiacha makusudi??
 
Ongezea na UCHAWA hili ndo tatizo namba 1 kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…