Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
- Thread starter
- #21
Umuhimu wa kocha bora mwenye nadharia kubwa ya mpira, ikichaguzwa na uwasilishaji bora utauona katika project mpya, hasa inahusisha vijana/watoto ambao mara nyingi huhitaji mwalimu kumuongoza A-Z.kwanu kuzungumza sana ndo nini ?? Mpira uwanjani mengine hadithi tuuu!