Fadlu Davids - The Great Communicator

kwanu kuzungumza sana ndo nini ?? Mpira uwanjani mengine hadithi tuuu!
Umuhimu wa kocha bora mwenye nadharia kubwa ya mpira, ikichaguzwa na uwasilishaji bora utauona katika project mpya, hasa inahusisha vijana/watoto ambao mara nyingi huhitaji mwalimu kumuongoza A-Z.
 
Ninachokiona au kuwaza muda huu Mgunda anapasha kuingia uwanjani dakika ya 7/8 haifiki dakika ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…