Fadlu kaharibu game ya leo

Fadlu kaharibu game ya leo

Benchi la ufundi la Simba na wachezaji wabadilike sasa. Hii habari unakutana na timu unaweza kuifunga goli hata 10 halafu unafunga goli 3 unaridhika unacheza na jukwaa inajenga tabia mbovu sana kwa wachezaji na hata benchi lenyewe la ufundi. Na mbaya zaidi mpaka baadhi ya mashabiki maarufu imewaingia hii tabia kutwa kucha kusifia huko youtube pira biriani. Funga goli 10 halafu sasa anza back pass na pira biriani sio unatofauti ya kagoli kamoja halafu unaanza huo ujinga matokeo yake ndio hayo ya jana na Azam.

Na benchi ufundi la Simba limkumbushe Mohamed Hussein kuwa huwa anaharibu "move" nyingi sana za magoli kwa ile tabia yake ya kufika kwenye nusu ya timu pinzani halafu anaanza kurudi nyuma. Wakati mwingine anafika kwenye kibendera cha kona kabisa na washambuliaji wanasubiri krosi yeye anageuka nyuma. Siku hizi sijui kalogwa maana zamani hakuwa hivyo kabisa. Ajifunze kwa mwenzake Kapombe na hata Nouma namna wanavopiga krosi hata wakivuka tu mstari wa kati tu ilimradi wawaone washamvbuliaji wapo kwenye eneo zuri..
 
Goli kumi utazipata pekee yani pekee kwa mechi za amitashashumta au mechi pacha za Side na said na zenyewe haziwezi kufika 10...yani zle za gsm nazo pia kufika kumi ni haipo...
 
Katika makosa tunafanya washabiki wa mpira wa miguu, ni kutokubali kuwa mpira una matokeo matatu( ushindi, sare na kufungwa).
 
Goli kumi utazipata pekee yani pekee kwa mechi za amitashashumta au mechi pacha za Side na said na zenyewe haziwezi kufika 10...yani zle za gsm nazo pia kufika kumi ni haipo...
Zinapatikana kwa Kilimanjaro Wonders kwenye FA halafu zinawajenga tabia na saikolojia wachezaji kiasi kufunga goli nyingi linakuwa ni suala la kawaida kabisa kwao. Tofauti na sasa wakifunga goli mbili/tatu kwao wanaona nyingi wanaanza upuuzi wao uwanjani wa pasi fupi fupi kwenye "zone" yao badala ya kutafuta magoli zaidi waue mechi mapema. Mbaya zaidi mpaka kocha naye anashangalia tofauti ya goli moja wakati mechi bado dakika 10 + za nyongeza.

Coastal Union iliyokamilika waliwahi kula 8 na ni mchezo wa ligi. Sasa kwa Simba ile Kilimanjaro Wonders wangekula ngapi?
 
Back
Top Bottom