kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue.
Fadru Davis. Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa WanaLalama akikabidhiwa tuzo,wengine wanaenda mbali eti Kapendelewa.
Wachambuzi wanasahau kuangalia ni nini Mahitaji ya Mechi. Nini kinahitajika? Nini kafanya?
Kundi La Simba kwenye michuano ya CAF bado lipo Wazi.... mwenye mbinu bora timu yake itapita.
Muda utaongea..