kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Kitu gani cha ajabu kafanya Faldu hadi umlinganishe na Ibenge?
Yani we jamaa unamlinganisha ibenge na fadlu? Kwa kipi hasa alichokifanya fadlu? Unasema ni kocha wa mbinu ni mbinu Gani hizo alizonazo fadlu? Kushinda dhidi ya timu mbovu ya sfaxien nazo ni mbinu? Ebu acha kudhalilika basi!Ibenge Yupo amejenga jina teyari, mbabe Wa mbinu.
..anaogopwa.!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue.
Fadru Davis.Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa WanaLalama akikabidhiwa tuzo,wengine wanaenda mbali eti Kapendelewa..!
Wachambuzi wanasahau kuangalia ni nini Mahitaji ya Mechi..! Nini kinahitajika? Nini kafanya.
Kundi La Simba kwenye michuano ya CAF bado lipo Wazi.... mwenye mbinu bora timu yake itapita.
Muda utaongea..
Yuko very over ratedIbenge Yupo amejenga jina teyari, mbabe Wa mbinu.
..anaogopwa.!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue.
Fadru Davis.Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa WanaLalama akikabidhiwa tuzo,wengine wanaenda mbali eti Kapendelewa..!
Wachambuzi wanasahau kuangalia ni nini Mahitaji ya Mechi..! Nini kinahitajika? Nini kafanya.
Kundi La Simba kwenye michuano ya CAF bado lipo Wazi.... mwenye mbinu bora timu yake itapita.
Muda utaongea..
Yani we jamaa unamlinganisha ibenge na fadlu? Kwa kipi hasa alichokifanya fadlu? Unasema ni kocha wa mbinu ni mbinu Gani hizo alizonazo fadlu? Kushinda dhidi ya timu mbovu ya sfaxien nazo ni mbinu? Ebu acha kudhalilika basi!
Ayo makombe manne ndio yanacheza uwanjani kwa sasa? Timu waliyokuwa nayo kipindi kile na ubora wao ndio hii hii? Ama mnadhani Kila Mmoja ni mbumbumbu ajui chochote!Cs Sfaxien anayo Makombe Manne Ya CAF , matatu Shirikisho, moja CAF Cup...!
Cs Sfaxien sio timu mbovu kama Utopolo mnavyotaka kuaminisha Watu..
Wale sio kama club Africain
Unateseka ukiwa kwa Mtogole?Yani we jamaa unamlinganisha ibenge na fadlu? Kwa kipi hasa alichokifanya fadlu? Unasema ni kocha wa mbinu ni mbinu Gani hizo alizonazo fadlu? Kushinda dhidi ya timu mbovu ya sfaxien nazo ni mbinu? Ebu acha kudhalilika basi!
Wewe huna ulijualo sasa kama unasema CS Sfaxien ni bora sababu ya makombe vipi kuhusu TP Mazembe ambae makombe yake tumeyaona live sio ya kusimuliwa? na kama ubora wa timu ni makombe mbona hua mnajiita wakubwa na hamna kombe lolote?Cs Sfaxien anayo Makombe Manne Ya CAF , matatu Shirikisho, moja CAF Cup...!
Cs Sfaxien sio timu mbovu kama Utopolo mnavyotaka kuaminisha Watu..
Wale sio kama club Africain
Kuzifungq timu zilijozifia huko shirikisho mshaqnza kuvimba!Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue.
Fadru Davis. Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa WanaLalama akikabidhiwa tuzo,wengine wanaenda mbali eti Kapendelewa.
Wachambuzi wanasahau kuangalia ni nini Mahitaji ya Mechi. Nini kinahitajika? Nini kafanya?
Kundi La Simba kwenye michuano ya CAF bado lipo Wazi.... mwenye mbinu bora timu yake itapita.
Muda utaongea..
Naona Uto una scientific calculator unapiga Hesabu za Simba kuingia robo fainali,Timu lako sijui lina point ngapi?Simba watatoka ,hawataweza kumfunga cs constantantine nyumbani mechi itaisha suluhu,bravos atashinda mechi yake ya home na atakuwa na alama tisa huku mechi ya mwisho atacheza na kibonde wa kundi
Sawa Kabisa Kwa Ulichokiandika Hata Tp Mazembe Hawa Sio wale Waliotinga Nusu 67, Mwaka Uliopita Tumchomoe Tp Tumweke Cs Sfaxien Kwenye Kundi lenu Huna Uwezo wa Kuchukua Alama Nne Kwake Kama Ulivyofanya kwa Tp Timu Za Kiarabu Hata kama Ni Mbovu Haziwi kama Ilivyo Tp Kwa Sasa Wale Tp wanafungwa Vizuri Na Kengold Ya Pale Chunya.Ayo makombe manne ndio yanacheza uwanjani kwa sasa? Timu waliyokuwa nayo kipindi kile na ubora wao ndio hii hii? Ama mnadhani Kila Mmoja ni mbumbumbu ajui chochote!
Eti nini? Kwamba yanga hana uwezo wa kuchukua point kwa sfaxien? Uko sawa kweli wewe kichwani? Ama unaota pengine!Sawa Kabisa Kwa Ulichokiandika Hata Tp Mazembe Hawa Sio wale Waliotinga Nusu 67, Mwaka Uliopita Tumchomoe Tp Tumweke Cs Sfaxien Kwenye Kundi lenu Huna Uwezo wa Kuchukua Alama Nne Kwake Kama Ulivyofanya kwa Tp Timu Za Kiarabu Hata kama Ni Mbovu Haziwi kama Ilivyo Tp Kwa Sasa Wale Tp wanafungwa Vizuri Na Kengold Ya Pale Chunya.
Tp Sio Unga Tu Ni Unga Wa Sembe Mweupe.Eti nini? Kwamba yanga hana uwezo wa kuchukua point kwa sfaxien? Uko sawa kweli wewe kichwani? Ama unaota pengine!