Nimeitundika hapa ofisi pembeni ya ile ya mheshimiwa wa magogoni, VASCO DA GAMA...afu yuko hapa chugga, barabara zimefungwaje! Khaa aende zake atuwache tupumuwee!
Kamati za maandalizi nshapanga, toa tarehe tu, si unajua mimi ni mdau wa SHIRIKA LA NDEGE LA PW watakupa return ticket, utalala kwangu PW NI PRECISIONAIR