mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congo pana dhahabu MSUMBIJI kuna nini kwani ?! Hadi UN waende?!Nadhani SADC inazinduka inaanza kuelewa majuku yake halisi.Hongera Filioe Jacinti Nyusi Mwenyekiti wa SADC,Raisi wa Msumbiji,umeamua hasa kusafisha nyumba.Maana nashangaaga sana,majeshi ya UN yanapelekwa congo lakini hakuna linaloonekana ,zaidi ya wanajeshi wake kupukutika tuu.anayewafadhali ataendelea kupata hasara.
Cabo delgado inasemekana ina asili ya gesi asilia tena nyingi sana kushinda tuliokuwa nayo Mtwara mkuu.Congo pana dhahabu MSUMBIJI kuna nini kwani ?! Hadi UN waende?!