Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
ntakuja nipate uzoefu kabla sijainyanyua Sitimbi Wing!
msipotufagilia tutajifagilia wenyewe allas!! Kitu chako unapaswa kupewa wakikucheleweshea chukua mwenyewe kwani ni haki yako!
F4g1l14!!!
Need we say more?
need not we?
Hahahahaha..... Kajiwekea na kachumbari pembeni lol..... Sema kasahau ndizi mbivu.... Hehehehehe
He he he...na pilipili je?
Hahahahahaha..... Mke mwenza nahisi hata limao hajaacha lol....
He he he..Raha tujipe wenyewe ........fagilia fagilia weweee...sosi Mr Nice....
Najivunia kuwa member wa Arusha Wing