Umeona eeeh.....!
na mimi ndo nataka kujiunga huko....
tuhamie tu binamu yangu
mi niko huku tayari ubussy tu unanibana, karibu sana
Waliopewa uraia huku ni wewe Jiwe Linaloishi, gfsonwin, Mwita Maranya, Babu DC Dark City CHUAKACHARA Mwanyasi watu8 @ KOKUTONA na Dena Amsi
Hiyo sio ndoa ni SACCOS
Wacha ife ishafilisika tayari.
Binamu karibu mi niko parallel Dar wing Mwnachama wa kudumu, Arachuga mwanachama wa Heshma
cc. PakaJimmy, Arushaone, Erickb52, Preta, Lily Flower, Mzee wa Rula, Passion Lady, marejesho, Filipo. sweetlady ( wakuu bado niko arusha ila Invisible)
Hiyo sio ndoa ni SACCOS
Wacha ife ishafilisika tayari.
Mungi unajua leo ilikua nitoe tamko kali lakini nimeahirisha baada ya kupiga hesabu kali kisiasa.Pia nimegundua Madame B ni kete nzuri kisiasa na pia anafaa kuwa First Lady na jinsi alivyo poa kwenye PR.Mimi na yeye ni kama Obama na Michelle kisiasa na si unajua hakuna Risk ya kujimilikisha Kiwira au mgodi mwingine maana mimi ni mzalendo hardcore.Kama ni Ben Saanane anatoa talaka ni sawa................. ila ukiona Madame B ndo anatoa talaka ujue kuna mwingine anasubiri kama vile anaingia kwenye ATM....... chezea Madame B weweee!!!
he he heeee.....Karibuni sana! Tumeshawaandalia makao yenu, pamoja na ajira.
hahahahahaa..umeona eeh..FYI charminglady Dar wing wameanza kuzoeana! Ushahidi ninao, kwa kina Ruttashobolwa KakaKiiza Madame B Kipaji Halisi Mtambuzi "and many more" waliokuwa LEO TUPO HAPA kwa mjeda last night!
hahahahahaa..umeona eeh..
Muendelee hivyohivyo mkuu. Vipi mbona sijawahi kuwasikia kina Mamndenyi St. Paka Mweusi snowhite na Vin Diesel hawakutani nanyi?
..watakuwa washakusikia...Muendelee hivyohivyo mkuu. Vipi mbona sijawahi kuwasikia kina Mamndenyi St. Paka Mweusi snowhite na Vin Diesel hawakutani nanyi?
Mungi unajua leo ilikua nitoe tamko kali lakini nimeahirisha baada ya kupiga hesabu kali kisiasa.Pia nimegundua Madame B ni kete nzuri kisiasa na pia anafaa kuwa First Lady na jinsi alivyo poa kwenye PR.Mimi na yeye ni kama Obama na Michelle kisiasa na si unajua hakuna Risk ya kujimilikisha Kiwira au mgodi mwingine maana mimi ni mzalendo hardcore.