Kama ni Ben Saanane anatoa talaka ni sawa................. ila ukiona Madame B ndo anatoa talaka ujue kuna mwingine anasubiri kama vile anaingia kwenye ATM....... chezea Madame B weweee!!!
Msipotufagilia tutajifagilia wenyewe allas!! Kitu chako unapaswa kupewa wakikucheleweshea chukua mwenyewe kwani ni haki yako!
F4G1L14!!!
NEED WE SAY MORE?
Anafikiri tuna shida ya kukopana kama wao.....
inamaaana Madame B unamtosa chalii angu. Arushaone...?
Dadadek Mentor wewe ni bonge la Dictator!!
Mkuu watu was moshi nadra sana kuwajua ingawa wako wengi humu. Hatujuani hata!
hahaahahahahahaha..aisee na mimi naoa karibuniMkuu Kipaji Halisi waambie kina Madame B and alike, HODI HODI ZIKOME MWAKA HUU NAOA.
COPY: charminglady.
Anafikiri tuna shida ya kukopana kama wao.....