Fagio la chuma alilokabidhiwa Mzee Mwinyi bado lipo Ikulu?

Fagio la chuma alilokabidhiwa Mzee Mwinyi bado lipo Ikulu?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, Marehemu Ally Hassan Mwinyi alikabidhiwa fagio la chuma na wazee wa Dar es salaam ili alitumie kusafishia uchafu serikalini.

Jee lile fagio bado lipo Ikulu?
 
Back
Top Bottom