Fahahu hivi ndio vyuo bora ambao wanafunzi wake hufanya vizuli maofisini na kozi

akizungumza katika hafla ya kuzindua dira ya UDSM miaka 50 ijayo, mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu Kwa niaba ya wenzake aliwasifia wahitimu wa Ud kuwa wanajituma sana,akaongeza kuwa wanaaminika ktk idara mbalimbali na wamekuwa ni msaada mkubwa sana maofisi.
 
Wenda umeikosea si Kiswahili sanifu, usanifu wake ni huenda
wenda una mawazo mazuri...lakini kwa hii lugha ulitumia hakika umepotosha maana na dhumuni la uzi wako!! LUGHA MBAYA....KAJIPANGE!!!!

neno dhumuni lilipaswa kuwa madhumuni!
 

kwahiyo usaidiweje?
 
DSJ hutoa graduate wazuri kuliko wote Tanzania? I doubt! Hivi hawa wanatoa shahada? Yaani ni bora kuliko Tumaini, SAUT na SJMC? Halafu Mzumbe, SUA? Au nimesoma haraka haraka? Ninachojua mimi kuna Kozi zipo Mzumbe na SUA na hazipatikani kwingineko kokote kule. UDOM pia wanatoa shahada kama vile Lugha ya Korea, Kichina n.k, je hapa tuseme havitambuliki?
Kwamba Veterinary Medicine ya SUA hujaisikia?
 






We umesoma chuo gani? GPA-?
 
jaman hawa vilaza watatusumbua mpaka lini..........damn......nyobwa vilaza wote
 
thanks for you comments! but we need evidence and not romours
 
Ufanisi uko kwa mtu na sio chuo,jaribu kuficha ujinga wako!!
 
most of Ardhi university courses hazina mpinzani kwa hapa tanzania.
Geoinformatics
Geomatics
Urban planning
Archtecture
Interior design
Housing Infrastructure and Planning
Building Economics
Construction Management.
etc.....


ndo maana wanafunzi wake wanaomaliza hapo hawalali njaa na hawahitaji kuhangaika kutafuta kuajiriwa!
 
Unaweza soma huko na bado ukawa kilaza....
mmepita huko na still kitaa mnazurura.........
utapimwa kwa uwezo wako na si kwa chuo ulichosoma..
Kama wanahitaji mhasibu....watakutaka uwe umesoma Accounting
Kama wanahitaji Lawyer...uwe umesoma Law...etc
Chuo hakiajiriwi...unaye ajiriwa ni wewe.....
Pambana wewe kama wewe usikae kuwaza jina la chuo litakubeba...
hao tunakutana nao ktk interview na hawana jipya..tunawapiga chini kama kawa...
jivunie elimu na si chuo...jivunie taaluma si chuo.....

Mtazamo wangu.
 
Wenda umeikosea si Kiswahili sanifu, usanifu wake ni huenda

neno dhumuni lilipaswa kuwa madhumuni!
KISWAHILI KINABADILIKA KADRI MUDA UPITAVYO...ila nashkuru kwa marekebisho!!!
 
bro kweli umeongea point.... ishu hapa ni perfomance of the worker as an individual and as a team, not the institute and the university!! big up!!
 
KWA MANENO YAKO UDOM WANAPOTEZA MDA?...Wat a mbulula ar u!
 
Fainali kitaani, uwe umesoma st kulthum university ama st maria gorethi. Confidence and attitude is all it takes.
 
Post kama hizi mimi uwa nasema ni utoto, na cha ajabu mleta post is very weak in language and bad enough in swahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…