Vipi marketing, procurement, na BBA zote za mzumbe? Nimefanya BAF mzumbe but BBA logistics, marketing and enterprenurship za mzumbe ni kali sana as wana interaction nzuri sana na walimu as wapo wachache sana,, mafano mwaka wangu watu wa procurement walikuwa 20 tu darasan kwao kias cha walimu kumjua kila mtu na uwezo wake, na hata assigment na presentations wao wanafanya individual hakuna kutegeana,,, also baada ya kuajiriwa nikagundua uwezo wa kichwa cha mtu ndo muhim kuna watu wamesoma udom, saut, tumaini etc but they are too good kwenye utendaji kuliko hata waliosoma kwenye ivy league universities