Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoasumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa ninayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-

1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.
3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.
4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera
5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango
6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi
7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry

yanayojiri.com
 
mixer.gif

Samahani bibie hiyo juis unatia sukari?
 
Mnaoenda kuwa testa msisahau kutuletea marejeshoo
 
mixer.gif

Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoasumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa ninayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-

1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.
3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.
4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera
5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango
6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi
7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry

yanayojiri.com
Sijaona Juice ya Vitunguu.....🙁🙁🙁....nasikia hii Majibu unayaona ndani ya nusu saa tu...
 
Healthy smoothies....
 
Nyingine unatafuna?
Nop... namaanisha hizo juice nyingine siwezi kuzinywa, nahisi taste yake siwez ipenda.
Ni kama ambavyo baadhi ya watu hawanywi pombe... hiyo haimaanishi kuwa huwa wanaitafuna.
 
Back
Top Bottom