Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
1.Mwanaume ambaye anasubilishwa kupewa papuchi hadi wafunge ndoa wakati anafahamu binti aliyenae sio bikraaa
2.Mwanaume aliyeoa au kufunga ndoa na mwanamke ambaye ametolewa bikra na mwanaume mwingine
3.Mwanaume ambaye anaishi na single mother kama mkewe alafu kila mwisho wa mwezi mkewe anawapeleka watoto kumuona baba yao mzazi kwenda kumsalimia uku majukumu ya familia unabebeshwa wewe.
4.Mwanaume ambaye akitishiwa na mwanamke tuachane au anageuka kuwa mpole huku anakosa nguvu ya kuongea
Kwa mujibu wa utafiti wa kina hawa ndo wanaume wanadhalauliwa zaidi na wanawake haya endeleeni kutaja
Facts zingine za mwanaume kudhalauliwaaa