Jopelo John
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 317
- 71
- Thread starter
- #61
v belts. piga simu- 0767-379412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
v belts dunlop.
v belts. piga simu- 0767-379412
Ndio kuna bearing origino na fakeHivi ni kweli kuna bearings feki na original? Ntajuaje sasa,na bei zake zikoje mfano za swift.
hizo ni wheel hub bearing. suzuki ni kampuni ya japan. hizo bearing haina shida. Bearing hazifii haraka kama spea zingine, kwahiyo ni matunzo yako tu. unaweza ukaenda hata miaka 2 hadi 3 hujafungua miguu ya gari.View attachment 1350312,Sorry hizo ndio nimeweka sasa kwenye gari baada ya kutoa za Awali km ulivyosema sijaona imeandikwa made in wapi? Uzoefu wako please....zinaweza kaa muda gani?