Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7).
Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo kuhofia kuchukuliwa eneo lake hilo na hivyo kuamua kumuuzia Marekani ambae nae alikua na ugomvi na Uingereza.