Kwa ninavyojua Mimi Alaska iliuzwa ili mfalme wa rassia amfanyie prince harusiAlaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7). Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo kuhofia kuchukuliwa eneo lake hilo na hivyo kuamua kumuuzia Marekani ambae nae alikua na ugomvi na Uingereza.
Acknowledge source please. Acha kujikausha Kama vile hii ishu ww ndo source. Al Jazeera walionyesha hii documentary Jana tarehe 7. 3. 2022Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7). Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo kuhofia kuchukuliwa eneo lake hilo na hivyo kuamua kumuuzia Marekani ambae nae alikua na ugomvi na Uingereza.
Na Loliondo iliuzwa ili nani afanyiwe harusi?Kwa ninavyojua Mimi Alaska iliuzwa ili mfalme wa rassia amfanyie prince harusi
Hapo naamini hata Ndugai alikuwa sahihi kusema ipo Siku nchi itauzwa kama ilivyo kwa Alaska.Hao ndio walikuwa wanajua biashara wananunua nchi pamoja na watu wote walioko ndani ya nchi kama vile Lowasa alivyonunua Chadema 2015 na wanachama wote walioko ndani ya Chadema
Sio ohh nimenunua shamba wakati shamba lenyewe limejaa misitu tu
😁😁 patachimbika.Waigomboe tena
Si walifanya biashara? Hawakunyang'anywa kama ilivyo Cremia, Georgia, Ukraine nk; Alaska waliiuza wenyewe kwa USAWaigomboe tena
Airudishe kibabe, make inasemekana jamaa ni Mbabe sana na anaweza kuipiga hata dunia nzimaSi walifanya biashara? Hawakunyang'anywa kama ilivyo Cremia, Georgia, Ukraine nk; Alaska waliiuza wenyewe kwa USA
Atapigwa achakaeAnatamani hata kuirudisha kabisa.
Na ataendelea kuumia hivyohivyo, ubavu wa kuirejesha Alaska hana, ila angekuwa amemuuzia Georgia angeweza kuirejesha.Haya ndo mambo yanayomuumiza Putin
Wananchi wa Alaska unadhani hawatak kuendelea kufaid bata la US?Airudishe kibabe, make inasemekana jamaa ni Mbabe sana na anaweza kuipiga hata dunia nzima