YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,056 Mar 8, 2022 #21 Smart911 said: Na sisi tuiuze Zanzibar... Click to expand... Sultan wa Oman aweza itaka kuinunua chapchap lete bei pendekezwa
Smart911 said: Na sisi tuiuze Zanzibar... Click to expand... Sultan wa Oman aweza itaka kuinunua chapchap lete bei pendekezwa
A Am focused Member Joined Jun 13, 2021 Posts 41 Reaction score 173 Mar 8, 2022 #22 Smart911 said: Na sisi tuiuze Zanzibar... Click to expand... Umetumia nini kufikiri?
M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,896 Mar 8, 2022 #23 Sexer said: Airudishe kibabe, make inasemekana jamaa ni Mbabe sana na anaweza kuipiga hata dunia nzima Click to expand... Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawa
Sexer said: Airudishe kibabe, make inasemekana jamaa ni Mbabe sana na anaweza kuipiga hata dunia nzima Click to expand... Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawa
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,559 Reaction score 8,318 Mar 8, 2022 #24 Mazindu Msambule said: Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawa Click to expand... Hata hiyo nguvu ya kuirejesha anayo kwani?! Yeye ni Mbabe hata Ukraine hajakaribishwa kaingia kibabe, Sasa huo ubabe wake atumie kuirejesha Alaska make tunaambiwa hapa ni moja ya kitu kinachomuumiza akili Putin.
Mazindu Msambule said: Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawa Click to expand... Hata hiyo nguvu ya kuirejesha anayo kwani?! Yeye ni Mbabe hata Ukraine hajakaribishwa kaingia kibabe, Sasa huo ubabe wake atumie kuirejesha Alaska make tunaambiwa hapa ni moja ya kitu kinachomuumiza akili Putin.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Mar 8, 2022 Thread starter #25 Smart911 said: Na sisi tuiuze Zanzibar... Click to expand... Hakika tutalipa lipa hata madeni