Nilipo maliza kusoma nikaanza kujiuliza!
Ukiwa ukarabati(marekebisho) ya ule uwanja wa Uhuru aka Shamba la Bibi umegharimu BILIONI 12. Je ni nani anaweza kugharamia ujenzi wa kiwanja cha Bunju hadi kufikia hadhi ya kwenye hiyo picha?
Je ni "MO"? au zile milioni mia mia za Gate collection za mechi za Simba na Yanga?.
Hivi ujenzi wa huu uwanja (uliopo) kwenye picha unatosha kwenye eneo la kile kiwanja cha Bunju?
Nikumbukavyo ni kuwa Tuliambiwa kuwa pale Bunju kinajengwa kiwanja cha Mazoezi.
By the way! Tuendelee na Matumaini tu, maana hata Dar es Salaam Young Africans SC walikuja na wachina wenye ramani ya uwanja.... Ila haiku julikana ni nani haswa mwenye kugharamia.