Fahamu dodoso mbili tatu kuhusu Allianz Arena ya Bunju

Fahamu dodoso mbili tatu kuhusu Allianz Arena ya Bunju

Ngoja niamke maana nahic naota

Wahenga walishanena..

"If we spend enough time dreaming, then the dream might eventually become real."

Kwa mda tuliotumia kuota hii ndoto.. Kwa kasi tuliyoanza nayo katika kutimiza ndoto hii.. Allianz Arena lazima ikamilike.
 
Lengo zuri na mwanzo pia mzuri.. Pongezi kwa wote watakaofanya simba ifike hapo.

Hivi thaman yake mpaka kukamilika imekadiriwa itakuwa sh ngap na wameingia mkataba na kampuni gani, au wameamua kujenga nusu nusu kwa hali ya pochi!!?
Mkuu taarifa kamili bado haijatoka.. Tuendelee kua na subira.
 
mwanzo mzuri mtani.lakini daah alianz arena unaifahamu vizuri au unaiskia tu.... anyway acha kufananisha alianz na vitu vya kijinga
 
Wahenga walishanena..

"If we spend enough time dreaming, then the dream might eventually become real."

Kwa mda tuliotumia kuota hii ndoto.. Kwa kasi tuliyoanza nayo katika kutimiza ndoto hii.. Allianz Arena lazima ikamilike.
Nakala: gasper kauki
 
mwanzo mzuri mtani.lakini daah alianz arena unaifahamu vizuri au unaiskia tu.... anyway acha kufananisha alianz na vitu vya kijinga
Mkuu mi Allianz Arena ya Bunju ndo naifahamu.. Hiyo ya Ujerumani naisikia tu.. Hebu wewe uneifahamu tujuze.
 
Dodoso ni " questionnaire "

Labda ungesema yajue mawili matatu kuhusu......
 
Dodoso ni " questionnaire "

Labda ungesema yajue mawili matatu kuhusu......
Basi sawa Mkuu.. Ila naamini umeyajua mawili matatu kuhusu Allianz Arena ya Bunju.
 
Basi sawa Mkuu.. Ila naamini umeyajua mawili matatu kuhusu Allianz Arena ya Bunju.
Mkuu, wakati sisi tunafuga vyura wakati wa masika, msije mkatuiga mkaishia kufuga mbuzi. Hata nyasi bandia wanakula wale. Hawaachi kitu!
 
Nilipo maliza kusoma nikaanza kujiuliza!

Ukiwa ukarabati(marekebisho) ya ule uwanja wa Uhuru aka Shamba la Bibi umegharimu BILIONI 12. Je ni nani anaweza kugharamia ujenzi wa kiwanja cha Bunju hadi kufikia hadhi ya kwenye hiyo picha?

Je ni "MO"? au zile milioni mia mia za Gate collection za mechi za Simba na Yanga?.

Hivi ujenzi wa huu uwanja (uliopo) kwenye picha unatosha kwenye eneo la kile kiwanja cha Bunju?

Nikumbukavyo ni kuwa Tuliambiwa kuwa pale Bunju kinajengwa kiwanja cha Mazoezi.

By the way! Tuendelee na Matumaini tu, maana hata Dar es Salaam Young Africans SC walikuja na wachina wenye ramani ya uwanja.... Ila haiku julikana ni nani haswa mwenye kugharamia.
 
Hongera watani wangu simba kwa kujifariji. Huo uwanja mtauona kwa ndoto tu amini jambo hili na hii ndio tz.
 
Back
Top Bottom