sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hebu tuanze kuutizama uwanja unaomilikiwa na timu bora kabisa duniani.. Bayern Munich.. uwanja huu unaitwa Allianz Arena .
Katika Arena hii kuna;
1. Uwanja wa kuchezea mechi
2. Uwanja wa mazoezi
3. Maduka yanayoelezea historia ya timu, na maduka yanayouza bidhaa za timu
4. Ofisi n.k
Ifuatayo ni ramani ya Uwanja wa timu bora kabisa, kuwahi kushuhudiwa katika ukanda wa CECAFA.
Uwanja huu unamilikiwa na Simba Sports Club, upo katika eneo la Bunju.. ambao "unaweza" ukaitwa Simba Sports Club Stadium [ Allianz Arena ya Bunju ]
Kwanini ni Allianz Arena ya Bunju?
Kwa sababu..
1. Muundo wake hauna tofauti na Allianz Arena ya Bayern Munich .
i.e uwanja wa kuchezea, uwanja wa mazoezi, maduka, ofisi.. n.k
2. Falsafa ya mpira unaochezwa katika dimba la Allianz Arena .. haina tofauti na ile tunaoitumia..
i.e Soka la kasi mda wote, Pasi nyingi zenye macho, Mashambulizi ya uhakika, Defense inayoongozwa na mabeki makatili tupu n.k
Kasi ya ujenzi ya hili dimba bora kabisa katika ukanda huu.. ni kubwa sana. Wakandarasi wapo site masaa 24 wakihakikisha ujenzi unakamilika katika mda muafaka.
Kuhusu maendeleo ya ujenzi unaweza pitia Uzi huu Hayawi hayawi, Uwanja wa Bunju wa Simba FC, ujenzi wapamba moto
Allianz Arena ya Bunju ikikamilika.. itakua na;
1. Uwanja wa kuchezea mechi
2. Uwanja wa Mazoezi
3. Hostel za wachezaji
4. Maduka yatakayokua yakiuza bidhaa za timu
5. Ofisi n.k
Mungu bariki ujenzi wa dimba la Allianz Arena ya Bunju,
Mungu ibariki Simba Sports Club.