Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

Akili kali united

New Member
Joined
May 12, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Jamii Forum : Biashara 📊

Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara

Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum.....

Tutaiita MBA ya Mchongo.

Masters of Business Administration ya Mchongo.

Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako....

Wapo wengi nimewaona wanapush biashara hapa....
Manyanza maishapopote cacutee Tommy 911 Prakatatumba abaabaabaa Kazanazo Mel James Vincenzo Jr MAPITO Mwanza

Ila hao ni wale wachache nao wacheck daily.

Sasa ntapush session Misingi 21 ya biashara kwa kifupi tupate mwanga wapi tuweke sawa ili biashara ziende sawa.

Sasa kabla hatujaendelea na msingi wa kwanza siku ya leo.

Najua wengi ni wafanyabiashara hapa X ila wengi tunajua mbinu za biashara lakini hatuna misingi mizuri itakayo linda biashara zetu.


Kwa wafanyabiashara hapa X.

Entrepreneurs wakiwemo kina

Twende sawa 🧵.

Bila kusahau jobless maarufu humu ndani:
Jobless Billionear

Na yeye anaweza pata kitu leo 😂

Msingi wa kwanza ni Malengo.

Hapa tutazungumza kwa lugha nyepesi ili kila mtu aweze kufanyia kazi.

Tunaposema malengo kwa lugha rahisi ni hitimisho la safari yako ya mafanikio.

Malengo ga binadamu yapo kwenye sehemu kuu saba.

• Uchumi
• Afya
• Imani na Dini
• Elimu
• Mahusiano
• Uhusiano
• Uhuru wa muda

Pia wewe ukiwa unajipangia malengo yako ni lazima yaangukie kwenye mambo hayo saba.

Lakini sasa nitaandika katika kipengele cha uchumi lwa kifupi.

Ili kuongeza mauzo kwenye biashara yako kuna njia kuu 3.

1: Kuongeza bei ya mauzo.
2: Kuongeza idadi ya manunuzi ya mteja.
3: Kuongeza idadi ya wateja unaohudumia

Ukitaka kupata maelezo zaidi check link chini.

Nunua msingi wa kwanza mpaka wa tatu.

Link: Cusho Creative

Tuendelee 🧵.

Malengo yamegawanyika katika sehemu kuu 3.

1: Malengo ya muda mfupi.
2: Malengo ya muda wa kati.
3: Malengo ya mda mrefu.

Hapa utaangalia unaweza kuweka malengo ya muda gani ila malengo ya mda mrefu ndio mazuri.

Mana yanakupa mda wa kutafakari unayotaka kufikia pia kurekebisha

Je ni vitu gani vya kuzingatia wakati wa kupanga malengo

1: Hali yako ya sasa ya mauzo
2: Ujuzi ulionao kwa sasa kwenye mauzo
3: Watu ulio nao sasa ivi kwenye biashara
4: Muda gani unataka kukamilisha malengo ya mauzo yako.
5: Vikwazo gani vya kuepuka ili kufikia malengo yako.

Sifa za malengo.

1: Yaweze kuelezeka.
2: Andika chini kila lengo unalotaka kulifikia.
3: Yawe na uhalisia.
4: Yaweze kupimika.
5: Lengo lako litegemee hali ya sasa.

Zipo sifa nyingi pamoja na vitu vya kuzingatia unaweza check.

Link: Cusho Creative

Check pdf ya kwanza

Kama umependezwa na uzi huu gonga like pia usisahau kurepost uwafikie watu wengi usisahau kuweka bookmark ili upitie wakati mwingine.

Tukutane kipindi kijacho.

Venue ni hapa hapa Jamii forum..

Somo limeandaliwa na

AKILI KALI UNITED.

Kwa maswali unaweza join group letu la discussion.

Link: Q&A ya MBA ya MCHONGO....

Ciao 🥂.
 

Attachments

  • Screenshot_20240522_150756_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20240522_150756_WhatsAppBusiness.jpg
    161.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom