Fahamu faida ya vyakula hivi na viungo mbalimbali kwa afya ya mwanadamu

Fahamu faida ya vyakula hivi na viungo mbalimbali kwa afya ya mwanadamu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Ijue Faida ya kula samaki
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif


SAMAKI (FISH)
• Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi
• Huilinda mishipa ya damu isiharibike
• Huzuia damu kuganda
• Hushusha shinikizo la damu
• Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi
• Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso
• Husaidia kuzuia uvumbe mwilini
• Huendesha mfumo wa kinga ya mwili
• Huzuia saratani
• Hutoa ahueni kwa wenye pumu
• Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo
• Huongeza nishati ya ubongo
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif


KITUNGUU SAUMU (GARLIC)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Hupambana na maambukizi
• Ina kemikali zenye uwezo wa kudhibiti saratani
• Hufanya damu kuwa nyepesi
• Hupunguza shinikizo la damu na kolestro
• Huamsha mfumo wa kinga ya mwili
• Huzuia na kutoa ahueni kwa kikohozi kilaini.
• Huweza kutumika kama dawa ya kifua
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif


TANGAWIZI (GINGER)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Huzuia ugonjwa wa kutetemeka
• Hufanya damu kuwa nyepesi ZABIBU (GRAPE)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

•ina uwezo wa kufanya virusi visifanyekazi
• Huzuia meno kuoza
• Ina mchanganyiko wenye uwezo wa kuzuiasaratani

PILIPILI HOHO (GREEN CHILLIES)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Dawa nzuri ya mapafu
• Hutumika kama dawa ya kifua
• Huzuia na kuponya kikohozi kikali
• kuyeyusha mabonge ya Husaidia damu
• Hutoa maumivu
• Huweza kumfanya mtu kuwa na furaha..
upload_2017-7-17_11-34-0.gif


ASALI (HONEY)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Huua vijidudu (bacteria)
• Huondoa wadudu kwenye vidonda na malengelenge
• Huondoa dalili za maumivu
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa pumu
• Hutuliza maumivu ya vidonda vya koo
• Hutuliza mishipa ya damu, humpatia mtu usingizi
• Hutoa ahueni kwa mtu anayeharisha..

MAZIWA (MILK)
• Huzuia ugonjwa wa mifupa (osteoporosis)
• Hupambana na maambukizi, hasa kuharisha
• Hurekebisha kuchafuka kwa tumbo
• Huzuia vidonda vya tumbo
• Huzuia kuoza kwa meno
• Huzuia mtu kupatwa na kikohozi
• Huongeza nishati ya ubongo
• Hushusha shinikizo la damu
• Hushusha kiwango cha kolestro mwilini
• Hudhibiti baadhi ya saratani
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
upload_2017-7-17_11-34-0.gif


UYOGA (MUSHROOM)
• Hufanya damu kuwa nyepesi
• Huzuia saratani
• Hushusha kiwango cha kolestro
• Huchangamsha mfumo wa kinga ya mwili
• Hudhoofisha virusi

SHAYIRI (OATS)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Dawa bora ya moyo
• Hushusha kolestro mwilini
• Hurekebisha sukari kwenye damu
• Ina mchanganyiko wa virutubisho unaodhibiti saratani
• Hupambana na kuvimba kwa ngozi
• Ina uwezo sawa na dawa ya kumpatia mtu choo

KITUNGUU MAJI (ONION)
upload_2017-7-17_11-34-0.gif

• Dawa kubwa ya magonjwa ya moyo
• Huimarisha kolestro nzuri (HDL)
• Huifanya damu kuwa nyepesi
• Hushusha kiwango cha kolestro mbaya
• Huzuia damu kuganda
• Hurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu
• Huua vijidudu
• Huzuia saratani
upload_2017-7-17_11-34-0.gif
Kila Uhonjwa Na Dawa Yake..
 
Safi sana Mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mungu alituwekea hivyo vyote ili vimagonjwa visitusumbue ila wenye tamaa wachache wakaja na madawa yao ya kutengeneza yenye kemikali na wakafanikiwa kuwapata wengi waliokosa maarifa

Ni mtazamo tuu, masela msijenge chuki..

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom