Fahamu faida za mbegu za mapera

Baada ya kudondoka kwenye mti wa mapera na kushindwa kuongea kwa mda wa dakika 5,sijawai kurudia kuyala tena.
 
Kujisaidia ni starehe ikiwa utakula vyakula vya kawaida ila ukiya hayo. Utajua kujisaidia ni vita, kama ujahisi unajifungua
 
Mkuu unataka kunithibitishia kwamba ule msemo wa ukitaka mwanaume anunue chochote mwambie kinatibu nguvu za kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka niliambiwa ukiangalia bunge linaongeza nguvu za kiume, asee lilikua halinipiti kila cku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…