pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Hahahaaaa....,Nguvu za kiume vipi hazisaidii kuboost ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....,Nguvu za kiume vipi hazisaidii kuboost ?
tengeneza juice yakeMm nlikula mapera kwa bibi enzi hizo mpk leo sijala tena
bora hata hujasema inatibu nguvu za kiume mana ake mapera yangeadimika sana mtaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upo adi hukuBaada ya kudondoka kwenye mti wa mapera na kushindwa kuongea kwa mda wa dakika 5,sijawai kurudia kuyala tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upo adi huku
Mkuu unataka kunithibitishia kwamba ule msemo wa ukitaka mwanaume anunue chochote mwambie kinatibu nguvu za kiume.haitibu nguvu za kiume
Mkuu unataka kunithibitishia kwamba ule msemo wa ukitaka mwanaume anunue chochote mwambie kinatibu nguvu za kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka niliambiwa ukiangalia bunge linaongeza nguvu za kiume, asee lilikua halinipiti kila ckuMkuu unataka kunithibitishia kwamba ule msemo wa ukitaka mwanaume anunue chochote mwambie kinatibu nguvu za kiume.
tehe...tehe.... wewehaupo sawaUnaenda na opener ya wine