Fahamu faida za mchicha

Karibu huku kwetu Kwamtogole, wanasema mbegu za mchicha ni nzuri kwasababu hazina kiwango kikubwa cha starch na zina protein pia, ni chakula kinauzwa kwenye health food stores.
Asante kwa elimu nzuri ,samahani hizi healthstores kwa Dar es salaam unaweza nielekeza?kuna vitu vingi nahitaji lakini nakwama namna ya kupata natanguliza shukurani
 
Asante kwa elimu nzuri ,samahani hizi healthstores kwa Dar es salaam unaweza nielekeza?kuna vitu vingi nahitaji lakini nakwama namna ya kupata natanguliza shukurani
Kuna moja iko Sinza Madukani wanauza organic food, nyingine Oyster bay karibu na Morogoro Stores.
 
Nilipokuwa Uingereza ndio niligundua faida za amaranth na inauzwa kwenye organic shops, mbegu zake zinatumika kama chakula ni ghali, pale ndiyo nilikupumbuka ile bustani yetu ya mchicha nyumbani.

Na mimi nitaenda Uingereza ili nikafahamu faida za mchicha.
 
Shukrani.

Naonaga kuna watu wanasag vegs haina shida baadae ukitumia mbich mbich hivi??
MKUU KABLA HUJATUMIA JUIS YA MCHICHA MBICHI AU MBOGA ZA MAJANI
MBICHI PATA USHAURI WA DAKTARI KWANZA!
SABABU-:
Nyingine huwa na vitamini K kwa wingi na kusababisha damu kuganda jambo ambalo hiweza kusababisha kupooza viungo nk
 
Ahsante kwa angaalizzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…