Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Sasa nielekeze jinsi ya kuziandaa tafadhali.Ni nzuri kwa wasiopenda unene, hazina calories nyingi lakini unashiba na digestion yake ni ya taratibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nielekeze jinsi ya kuziandaa tafadhali.Ni nzuri kwa wasiopenda unene, hazina calories nyingi lakini unashiba na digestion yake ni ya taratibu.
Asante kwa elimu nzuri ,samahani hizi healthstores kwa Dar es salaam unaweza nielekeza?kuna vitu vingi nahitaji lakini nakwama namna ya kupata natanguliza shukuraniKaribu huku kwetu Kwamtogole, wanasema mbegu za mchicha ni nzuri kwasababu hazina kiwango kikubwa cha starch na zina protein pia, ni chakula kinauzwa kwenye health food stores.
Kuna moja iko Sinza Madukani wanauza organic food, nyingine Oyster bay karibu na Morogoro Stores.Asante kwa elimu nzuri ,samahani hizi healthstores kwa Dar es salaam unaweza nielekeza?kuna vitu vingi nahitaji lakini nakwama namna ya kupata natanguliza shukurani
Asante sanasana ubarikiweKuna moja iko Sinza Madukani wanauza organic food, nyingine Oyster bay karibu na Morogoro Stores.
Nilipokuwa Uingereza ndio niligundua faida za amaranth na inauzwa kwenye organic shops, mbegu zake zinatumika kama chakula ni ghali, pale ndiyo nilikupumbuka ile bustani yetu ya mchicha nyumbani.
Hiyo ni testimony yake lakini wewe tayari ameshakuwekea hapo huitaji kusafiri, kazi uliyo nayo ni kula kwa wingi tu sasa.Na mimi nitaenda Uingereza ili nikafahamu faida za mchicha.
Hiyo ni testimony yake lakini wewe tayari ameshakuwekea hapo huitaji kusafiri, kazi uliyo nayo ni kula kwa wingi tu sasa.
MKUU KABLA HUJATUMIA JUIS YA MCHICHA MBICHI AU MBOGA ZA MAJANIShukrani.
Naonaga kuna watu wanasag vegs haina shida baadae ukitumia mbich mbich hivi??
Ahsante kwa angaalizzoMKUU KABLA HUJATUMIA JUIS YA MCHICHA MBICHI AU MBOGA ZA MAJANI
MBICHI PATA USHAURI WA DAKTARI KWANZA!
SABABU-:
Nyingine huwa na vitamini K kwa wingi na kusababisha damu kuganda jambo ambalo hiweza kusababisha kupooza viungo nk