Asante mkuuTuongezee kidogo-Bacteria hawa kwa lugha ya darasani tunawaita Normal flora.
Makazi yao kwa mabilioni ni kwenye ngozi, mdomoni, via vya uzazi, maeneo wazi ya mwili na kwingineko.
Bacteria hawa wakibadili makazi huwa na madhara kwa mfano Escherichia coli hukaa kwenye utumbo mpana, wakiingia kwenye njia ya mkojo husababisa Urinary tract infection-UTI
Hii utakuwa umesahau na kinyume chake mkuu, vipi wale wa njia ya mkojo wakiingia kwenye utumbo wowote ule kupitia mdomoni tutawaitaje?Tuongezee kidogo-Bacteria hawa kwa lugha ya darasani tunawaita Normal flora.
Makazi yao kwa mabilioni ni kwenye ngozi, mdomoni, via vya uzazi, maeneo wazi ya mwili na kwingineko.
Bacteria hawa wakibadili makazi huwa na madhara kwa mfano Escherichia coli hukaa kwenye utumbo mpana, wakiingia kwenye njia ya mkojo husababisa Urinary tract infection-UTI
Napenda mafunzo yakoShukran kwa darsa murua. Acha nipate tango na chungwa hapa ili niwatunze bacteria wangu vipenzi.
Hawa wakiingia mdomoni huua bacteria wa mdomoni na kusababisha fangasiBakteria wa papuchi
hao bacteria nao wanakuaga na generations tofauti?Tuongezee kidogo-Bacteria hawa kwa lugha ya darasani tunawaita Normal flora.