Fahamu friendly bacteria

Fahamu friendly bacteria

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Friendly bacteria wanaishi mwilini lakini hawana madhara na wana faida nyingi. Friendly bacteria wana
1. Imarisha kinga ya mwili na huzuia cell division ambayo ndiyo chanzo cha kuenea kwa cancer
2. Wanasaidia katika msago wa chakula hasa chakula aina ya fibre ndiyo chakula chao.
3. Husaidia mvunjiko wa excess fat kuwa fatty acid.

Friendly bacteria wanaishi vizuri ukiwa mlaji na matunda na mboga mboga. Maziwa ya kula tango lilikokatwa, kabichi na nyanya pia kutafuna anagalo karoti moja mbichi kwa siku utaona mabadiliko hata kwenye afya ya akili.
 
Tuongezee kidogo-Bacteria hawa kwa lugha ya darasani tunawaita Normal flora.

Makazi yao kwa mabilioni ni kwenye ngozi, mdomoni, via vya uzazi, maeneo wazi ya mwili na kwingineko.

Bacteria hawa wakibadili makazi huwa na madhara kwa mfano Escherichia coli hukaa kwenye utumbo mpana, wakiingia kwenye njia ya mkojo husababisa Urinary tract infection-UTI
 
Asante mkuu
 
Hii utakuwa umesahau na kinyume chake mkuu, vipi wale wa njia ya mkojo wakiingia kwenye utumbo wowote ule kupitia mdomoni tutawaitaje?
 
Ukiwadisturb normal flora,utapata kasheshe..

Kuna watu wanaogea dettol zile medicated,,,hizi hazifai maana unaua normal flora,na baada ya hapo fungus wanatake advantage..

Dettol tumia kuoshea mikono pale unapokuwa mwili umekuwa mchafu sana
 
Tuongezee kidogo-Bacteria hawa kwa lugha ya darasani tunawaita Normal flora.

Makazi yao kwa mabilioni ni kwenye ngozi, mdomoni, via vya uzazi, maeneo wazi ya mwili na kwingineko.

Bacteria hawa wakibadili makazi huwa na madhara kwa mfano Escherichia coli hukaa kwenye utumbo mpana, wakiingia kwenye njia ya mkojo husababisa Urinary tract infection-UTI
hao bacteria nao wanakuaga na generations tofauti?
 
Back
Top Bottom