nikolo makaveli
Member
- Aug 22, 2018
- 16
- 26
Mwanahistoria na Mdau wa Maendeleo, Francis Daudi amefanya Tafiti kuhusu Mahusiano ya Kiuchumi kati ya Tanzania na India toka Mwaka 1960. Kufahamu mahusiano hayo, fursa za kiuchumi zilizopo kwa Watanzania nchini India na baadhi ya tamaduni za Wahindi. Bonyeza linki ifuatayo https://goo.gl/fwACmV kuangalia mahojiano aliyofanya na The RISACHI