P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 May 7, 2016 #21 Frank Wanjiru said: Na wewe kesho tuletee hasara za kuzuia Sukari kutoka nje kwa Wananchi. Click to expand... Magu anazijua tumeziimba tangu siku alipozuia matokeo yake jana katupa gloves tumeanza kuagiza tena!
Frank Wanjiru said: Na wewe kesho tuletee hasara za kuzuia Sukari kutoka nje kwa Wananchi. Click to expand... Magu anazijua tumeziimba tangu siku alipozuia matokeo yake jana katupa gloves tumeanza kuagiza tena!
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,016 Reaction score 6,310 May 7, 2016 #22 BAFA said: Umetumwa na ikulu nn Click to expand... Dah upstairs uko vzr
Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,605 Reaction score 1,085 May 9, 2016 Thread starter #23 PTER said: acheni upuuzi sukari haipo sokoni fanyeni mpango wa kuagiza sukari nje ya nchi siyo kuleta ngonjera za kijinga. Click to expand... Hizi ni taarifa za kisayansi au kiafya ambazo jamii lazima ifahamu. Mtu mzima unaumia vijiko viwili vya sukari kwenye kikombe cha chai huko bado ulishangolewa meno mawili?. No compromise on health issues
PTER said: acheni upuuzi sukari haipo sokoni fanyeni mpango wa kuagiza sukari nje ya nchi siyo kuleta ngonjera za kijinga. Click to expand... Hizi ni taarifa za kisayansi au kiafya ambazo jamii lazima ifahamu. Mtu mzima unaumia vijiko viwili vya sukari kwenye kikombe cha chai huko bado ulishangolewa meno mawili?. No compromise on health issues
Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,605 Reaction score 1,085 May 9, 2016 Thread starter #24 hazole1 said: Basi kama ndio hivyo ziwekwe alama za onyo kama sigara. Kwamba utumiaji wa sukari ni hatari kwa afya yako. Click to expand... Ndio maana MacDonald Restaurants huonyesha viwango vya lishe kila chakula
hazole1 said: Basi kama ndio hivyo ziwekwe alama za onyo kama sigara. Kwamba utumiaji wa sukari ni hatari kwa afya yako. Click to expand... Ndio maana MacDonald Restaurants huonyesha viwango vya lishe kila chakula