Fahamu Hatari za kutumia sukari

Fahamu Hatari za kutumia sukari

acheni upuuzi sukari haipo sokoni fanyeni mpango wa kuagiza sukari nje ya nchi siyo kuleta ngonjera za kijinga.

Hizi ni taarifa za kisayansi au kiafya ambazo jamii lazima ifahamu.

Mtu mzima unaumia vijiko viwili vya sukari kwenye kikombe cha chai huko bado ulishangolewa meno mawili?.

No compromise on health issues
 
Basi kama ndio hivyo ziwekwe alama za onyo kama sigara.
Kwamba utumiaji wa sukari ni hatari kwa afya yako.

Ndio maana MacDonald Restaurants huonyesha viwango vya lishe kila chakula
 
Back
Top Bottom