Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Nakesha kama bundi sikumbuki kitanda/Kama Una familia ni Bora usiniige Mimi
Hukawii kuuza nyumba usipokua makini
Nakula mitungi hadi mida ya makamba/
Kata mti panda mti chupa inadai/
Siruhusi pombe kugeuka kuwa chai/