Fahamu haya kulinda ndoa yako

Fahamu haya kulinda ndoa yako

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Ulimwengu huu umezungukwa na vishawishi vingi mno yaani hata ukiwa mlokole kiasi gani Kama ni mwanamme lijali ukipita mtaani kunawakati unajikuta unakodolea macho mwanamke mpaka unakuja kushituka watu wanakushangaa MITANDAO ya kijamii nayo inachangamoto Sana jinsi ya kuepuka vishawishi.

Kama kweli ndoa yako umeipata kwa maksudi yaani uliipata kwa kumaanisha Basi epuka kushika simu ya mwenzio wako napia epuka kuongozana na mwenzi wako ikiwa hakuna ulazima...ili KUILINDA ndoa yako
 
Kwa upande wa simu nashika ila siipokei ikiita Wala kusoma msg
 
Back
Top Bottom