Fahamu haya machache

Fahamu haya machache

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
1-Binadamu amejaliwa uwezo wa kulala kifudifudi tofauti na wanyama wengine.
2-Tembo hawezi kuruka hata hatua moja.
3-kuna Baadhi ya wanyama wanaweza kusinzia huku wamesimama Kama vile Ng'ombe, Punda n.k

We ongeza na mengine unayo jua
 
Binadamu ni mnyama amajaliwa uwezo wa kuwaongoza wanyama wengine kwani ana uwezo wa kuwafuga, kuwawinda hadi kuwatibu

Ukiachana na mnyama aina ya kiboko pia binadamu ni mnyama ambaye hawezi mpanda mama yake katika uzalishaji

Binadamu pamoja na nguruwe ni wanyama ambao ni omnivores (wanakula nyama, pamoja na majani? )

Binadamu ni mnyama pekee kwa wakati wote ambae anatumia miguu miwili kutembea

Jinsia ya kike ya mnyama binadamu pamoja na jinsia ya kike ya ngurue ni wanyama ambao peke yao wana menstrual cycle

Naomba ifahamike Binadamu sio mnyama pekee anaetumia kitendo cha kujaamiana Kama starehe ukiachana na uzalishaji

Ukiachana na nyangumi (whale) na tembo binadamu ni mnyama anayeishi kwa mda mrefu

Kijusi cha binadamu (embryo) kinafanana na baadhi ya wanyama kwani vyote huwa na mkia

Ukiachana na mbwa binadamu ni kiumbe kilichowahi fika anga za juu (space)

Mnyama binadamu jinsia ya kike anapenda kutumiwa nauli na ya kutolea hizo ni miongoni mwa courtship behavior ambazo madume tunafanya ili tuwavutie tuweze ku mate nao tofauti na wanyama wengine ambao nguvu inaitajika tofauti na hapo hauli mzgo hadi unakufa
 
Back
Top Bottom